Zoezi La Kuwatafuta Makamishna Wanne Laingia Siku Ya Sita

  • 3 years ago
Sakata Ya Millioni 973 Ya Kaunti Ya Kiambu Chini Ya Uongozi Wa Aliyekuwa Gavana Wa Kaunti Hiyo Fedinard Waititu Iliibuka Katika Zoezi La Kuwatafuta Makamishna Wanne Wa Tume Huru Ya Uchaguzi Na Mipaka Iebc. Daktari Joseph Kangethe Ambaye Alikuwa Waziri Wa Kaunti Hiyo Alikana Kuhusika Na Sakata Hiyo Ambapo Amefichua Kuwa Kuna Baadhi Ya Maafisa Wa Kaunti Ya Kiambu Walikuwa Na Fahamu Kuhusiana Na Sakata Hiyo. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi…………….