Kenya Ni Ya Kwanza Kuzindua Utumiaji Wa Dawa Yakuua Magugu

  • 3 years ago
Taifa La Kenya Ndilo La Kwanza Ulimwenguni Kuzindua Utumiaji Wa Dawa Yakuua Magugu, Dawa Hiyo Almaarufu Kichawi Kill Ni Ya Kupambana Na Magugu Yanayowasumbua Wakulima Wa Nafaka. Kwa Usemi Wake Mkurugenzi Mkuu Wa Shirika La Kalro Eliud Kireger Swala La Magugu Sugu Kama Vile Striga, Kayogo Na Kichawi Sasa Yatazikwa Katika Kaburi La Sahau.