Oynatıcıya atlaAna içeriğe atla
  • 7 yıl önce
Msanii wa bongo flava Rich Mavoko ameiambia eNEWZ kwamba mashabiki zake wanapaswa kushukuru amepungua maana alishakuwa na limwili likubwa lisiloeleweka huku akisema anathamini njia nzuri aliyopo kwa kuwa alipitianjia mbaya yeye ni origin sio fake hajawahi kupotea njia akiona anapotea anapangua fasta hivyo anatoa nyimbo hashindani na mtu ukiamua kushindani naye kimpango wako yeye hamfikirii mtu yeyeto kwa sasa.

Kategori

🎵
Müzik
İlk yorumu siz yapın
Yorumunuzu ekleyin

Önerilen