Skip to playerSkip to main contentSkip to footer
  • 9/8/2018
Mkurugenzi wa Mambo ya Nje , Itifaki na Uenezi Mhe. John Mrema ameuelezea Umma wa Ukonga katika kata ya Buyuni kuwa Waitara hakuanza usaliti leo, amekuwa akiwasaliti watu tangu akiwa Serikali ya Chuo.

Category

🗞
News

Recommended