"Watoto wanaotaka ligi na WCB tumewachunia wamefeli" Diamond

  • 6 years ago
Msanii nguli wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ametupa dongo gizani akidai kwamba kuna watoto aliowaita wadogo wanataka kushindana na WCB.

Recommended