Mbowe akibishana na polisi mahakama ya Kisutu leo.

  • 6 years ago
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe baada kutoka kwenye chumba cha mahakama yeye na viongozi wengine wa Chadema katika kesi inayowakibili kwa pamoja. Walitaka kuzungumza na wanahabari kuhusu kesi hiyo lakini polisi walizuia na kukawa na mabishano kabla ya viongozi wa chadema kuamua kuondoka.

Recommended