Viongozi 5 wa Uamsho 'waachiliwa'

  • 6 years ago
Viongozi watano wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar waliokuwa wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha zaidi ya wiki tatu sasa, wameachiliwa na kurejea majumbani kwao katika mazingira pia ya kutatanisha.

Recommended