Skip to playerSkip to main content
  • 14 years ago
http://www.ktnkenya.tv

Idadi ya wakimbizi humu nchini inazidi kuongezeka kila uchao, hali ambayo sasa imelazimu idara ya wakimbizi kufungua kituo kipya cha usajili wa wakimbizi mjini Mombasa. Kadhalika kwa mara ya kwanza maadhimisho ya siku ya wakimbizi yameandaliwa mjini Mombasa kuhamasisha wakazi wa mijini kuhusu mbinu bora za kuishi na wakimbizi. Maadhimisho hayo pia yameandaliwa mjini nairobi na kambi ya wakimbizi kakuma. John juma kutoka mombasa anakamilishia taarifa hiyo
Be the first to comment
Add your comment

Recommended