Baadhi Ya Wanaume Wamepinga Vikali Pendekezo La Kuongezwa Kwa Likizo Ya Ziada Kwa Wanaume Wakati Wake Zao Wanapojifungua, Kutoka Wiki Mbili Hadi Miezi Mitatu. Hii Ni Kufuatia Hatua Ya Daktari Mmoja Kaunti Ya Nakuru Kufika Kortini Ili Kuiomba Mahakama Kuwapa Wanaume Muda Sawa Wa Likizo Ya Kujifungua Kama Wake Zao. Daktari Huyu Amesema Ni Sharti Kuwe Na Usawa Kati Ya Wanaume Na Wake Zao Ikizingatiwa Kwamba Wanaume Wamepewa Haki Kisheria Kupata Mapumziko Ya Wiki Mbili Pale Wake Zao Wapojifungua.
Category
🗞
News