Shughuli Za Kibiashara Katika Mpaka Wa Kenya Na Uganda Zimesitishwa Baada Ya Madereva Wa Masafamarefu Kuandamana Wakilalamikia Vipimo Vya Lazima Vya Covid-19 Licha Ya Madereva Hao Kuwa Na Vyeti Kutoka Kenya. Madereva Hao Wamekaidi Hataua Hiyo Na Kuwaomba Wenye Mizigo Wachukue Mizigo Yao Kutoka Upande Wa Kenya
Category
🗞
News