Skip to playerSkip to main contentSkip to footer
  • 12/15/2021
Ni Siku Chache Tangu Mgodi Wa Dhahabu Kuporomoka Katika Eneo La Abimbo Kaunti Ya Siaya. Juhudi Za Kumwokoa Tom Okwach Aliyesalia Mgodini Humo Zimeambulia Patupu, Huku Wanaohusika Katika Shughuli Ya Uokoaji Na Hata Familia Wakilalama Kuwa Serikali Ya Kitaifa Na Ile Ya Kaunti Imelegea Katika Kuwapa Msaada Wa Kufanikisha Shughuli Hiyo. Nyabero Vina Na Taarifa Hiyo

Recommended