Skip to playerSkip to main contentSkip to footer
  • 8/13/2021
Huku Visa Vya Corona Vikiendelea Kuongezeka Katika Maeneo Ya Pwani, Shughuli Ya Kutoa Chanjo Kwa Watu Wenye Magonjwa Ya Kiakili Imeanza Kaunti Ya Mombasa. Kulingana Na Washikadau Wanaoendeleza Shughuli Hiyo, Hatua Hii Ni Katika Jitihada Ya Kuwalinda Wagonjwa Hao Kutokana Na Maambukizi Ya Virusi Vya Corona Aina Ya Delta Ambayo Ni Hatari Mno.

Recommended