Gavana Rasanga Aomba Msaada Kutoka Kwa Washikadau

  • 3 years ago
Siku Moja Tu Baada Ya Serikali Ya Kaunti Ya Siaya Kuahidi Kusimamia Ada Za Matibabu Za Wagonjwa Wa Mkasa Wa Moto Baada Ya Tanki La Petroli Kulipuka, Sasa Wanatoa Wito Kwa Washikadau Kuwapa Msaada Kwani Hospitali Za Siaya Zimejaa Pomoni. Kando Na Hayo Gavana Cornell Rasanga Anametoa Wito Kwa Wakaazi Kutoa Dna Zao Ili Mwanapathologia Wa Serikali Aweze Kufanikisha Mchakato Wa Kuitambua Miili. Mkasa Wa Moto Huko Malanga Ulisababisha Vifo Vya Watu 17 Na Kuwajeruhi Wengine Waliokuwa Wakijaribu Kufyonza Mafuta Katika Lori La Mafuta Lililokuwa Limepata Ajali.

Recommended