- 5 years ago
Washukiwa Wawili Wa Kosa La Mauaji Na Wizi Wa Mabavu Unaolenga Madereva Wa Texi Katika Mji Wa Naivasha Sasa Wameshtakiwa. Hata Hivyo, Mshukiwa Wa Tatu Hakuweza Kufika Mahakamani Kutokana Na Kuambukizwa Kwa Virusi Vya Corona. Na Kama Mwanahabari Wetu Aziza Hashim Anavyotueleza, Watatu Hao Wanaaminiwa Kuwa Genge Linalojihusisha Na Visa Vya Wizi Hatari Katika Maeneo Ya Nairobi, Kiambu Na Naivasha.
Category
🗞
News