Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Ili kukwepa kampeini ya serikali ya kukabiliana na uketetaji wa wasichana, wakazi wa kaunti ya Taita Taveta wamebadili mbinu na kuanza kukeketa watoto wanapozaliwa. Katibu wa maswala ya jinsia Rachael Shebesh ameapa kuhakikisha tamaduni hii imetokomezwa. Dhuluma dhidi ya jinsia katika kaunti ya Taita iko katika asilimia 23%. Haya yanajiri baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuapa kumaliza ukeketaji itimiapo mwaka 2022.

Recommended