Timu ya Simba imrdhamiria kujiimarisha kimataifa zaidi baada ya kumnasa kiungo mahiri Papy Tshishimbi. Simba imepeleka kilio Yanga kwa mara ya pili baada ya simba kumnasa Salamba aliyekua anawaniwa na Yanga pia.Kitendo chakumnasa Tshishimbi huenda kikaleta sintofahamu huko jangwani.
Be the first to comment