Skip to playerSkip to main content
  • 5 years ago
Murat(Erkan Petekkaya) na Yasemin(Şebnem Bozoklu) ni wanandoa wa zaidi ya miaka 20 na wamebahatika kupata watoto wawili wa kike.Liko tatizo la Siri lililopoteza furaha ya familia hii na kumpelekea Murat aliyemuaminifu katika ndoa yake kuchepuka‍‍‍.Nini hatima ya ndoa yao?.Filamu hii imesheheni visasi,mapenzi na familia.kwa maoni au kutangaza biashara yako 0758659026

Recommended