Rais MAGUFULI ASHIRIKI Ibada ya Jumapili ya Matawi Kanisa la Mtakatifu PETRO OYSTERBAY Jijini DSM
  • 6 years ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wamejumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam Machi 25, 2018
Recommended