Kilimo: Ajira Mbadala kwa Vijana

  • il y a 10 ans
Vijana wawili, Mike and Roman wenye elimu ya chuo kikuu na waajiriwa serikalini wameamua kujishughulisha na kilimo cha vitunguu kijijini Kirya, wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro ili kujipatia mapato mbadala

Recommandée