Wanariadha wasaka tiketi ya London Olympics
  • 12 years ago
http://www.ktnkenya.tv

Zaidi ya wanariadha mia moja maarufu wa Kenya wataingia uwanjani Nyayo Ijumaa kutafuta tiketi za olimpiki kule London wakati wa mchujo wa riadha. Kamati ya olimpiki imesema kuwa matayarisho yote yamekamilika na kuwa inatarajia kikosi thabiti kuchaguliwa kufikia siku ya jumamosi
Recommended