Upload

Upangaji uzazi

KTNKenya

by KTNKenya

8
30 views
  • About
  • Export
  • Add to
http://www.ktnkenya.tv
Je, wanawake jijini Nairobi wameshindwa kujadiliana na waume zao kuhusu mbinu za kupanga uzazi? Hii ni kulingana na ripoti iliyotolewa na shirika la utafiti la humu nchini linalosema kuwa asilimia 92 ya wanaume huanzisha mazungumzo na wake zao kuhusu mbinu za kupanga uzazi japo, wangali wanasita kutumia mbinu za kupanga uzazi.

0 comments