Advertising Console

  FKF yasaka kocha wa kigeni

  Repost
  KTNKenya

  by KTNKenya

  14
  18 views
  http://www.ktnkenya.tv

  Yamkini shirikisho la soka nchini linasaka kocha kutoka nje kuepukana na fedheha alizojipata nazo kocha Francis Kimanzi huku mbinu ya kujumuisha na kutafuta wachezaji vikimtia kitanzi na kupigwa kalamu hapo jana.haya yanajiri huku naibu mwenyekiti wa shirikisho hilo Sammy Sholei akitoa kero zake kwa kutojumuishwa katika uamuzi wowote wa shirikisho hili na sasa anapeleka malalamiko yake nungeni. Hassan Jumaaa na taarifa hiyo.