Advertising Console

  Operation linda nchi- Afmadhow

  Repost
  KTNKenya

  by KTNKenya

  17
  81 views
  http://www.ktnkenya.tv

  Mji wa Afmadhow una matumaini ya kuinuka, licha ya Al Shabaab kulemaza maendeleo kwa kipindi cha miaka sita sasa. Juhudi za vikosi vya KDF, TFG, SNA na Ras Kamboni zinaonekana bayana. Kibarua kikiwa ni vipi watawafurusha kabisa wana- Al Shabaab baada ya majeshi ya Kenya kurejea nyumbani.