Advertising Console

  Simba sita wauwawa Kitengela

  KTN Home

  by KTN Home

  52
  7 112 views
  http://www.ktnkenya.tv

  Vijana wa kimasai kutoka eneo la Kitengela wamewaua samba 6 miongoni mwao wanasimba 2 katika tukio la kusikitisha mbele ya macho ya uhifadhi wa wanyama pori. Kulingana na wazee kutoka jamii hio, wanyama hao amekua wakiwasumbua kwa miezi kadhaa jambo lililosababisha kupotea kwa mamia ya mifugo wao. Licha ya kuwaarifu walinzi wa mbuga ya Nairobi, wazee hao walisema walichelewa kufika jambo lililohatarisha maisha ya watoto wao na kina mama kama anavyoarifu Ali Manzu kutoka Kitengela.