Mauaji Ya Kinyama Junju: Aliyekuwa Mwakilishi Wadi Onesmus Gambo Ni Mmoja Washukiwa
  • 3 years ago
Aliyekuwa Mwakilishi Wadi Eneo La Junju Onsemus Gambo Ni Mmoja Wa Washukiwa Waliohusika Katika Mauaji Ya Watu Watatu Eneo Hilo Kaunti Ya Kilifi . Kulingana Na Mahakama Ya Moja Mombasa Gambo Sasa Atasalia Korokoni Huku Washukiwa 6 Kati Ya 12 Waliokamatwa Wakiachiliwa Kuisaidia Idara Ya Polisi Na Uchunguzi Wa Kesi Hiyo.Watatu Hao Waliouwawa Kinyama Ni Pamoja Na Wafanyibiashara Sidik Anwaraii Sumra, Rahil Mohamed Kasmani Na James Kazungu.
Recommended