Do you want to remove all your recent searches?

All recent searches will be deleted

"Enzi za uhai wa Kanumba, Steve Nyerere alikuwa msaliti, aliwachonganisha Vincent Kigosi na Kanumba". -Mama Kanumba. Mama mzazi wa Kanumba amesema kwamba enzi

siku 3 zilizopita0 views

"Enzi za uhai wa Kanumba, Steve Nyerere alikuwa msaliti, aliwachonganisha Vincent Kigosi na Kanumba". -Mama Kanumba.
Mama mzazi wa Kanumba amesema kwamba enzi wa uhai wa Steven Kanumba mtu aliyewachonganisha wawili hao ni Steve Nyerere
Ikumbumwe Kanumba na Ray walifanya vizuri katika tasnia ya filamu (Bongo Movie) na kabla ya kifo cha Kanumba, alimfikishia malalamiko mama yake kwamba mtu anayewachonganisha ni Steve Nyerere. Amesema sababu kuu ya kuwachonganisha aliingiwa na wivu baada ya kuona wakitoa Movie zinafanya vizuri yeye akaamua kuwachonganisha.

MSIKILIZE HAPA MAMA KANUMBA KISHA

Video Credit: Timesfm

Report this video

Select an issue

Embed the video

"Enzi za uhai wa Kanumba, Steve Nyerere alikuwa msaliti, aliwachonganisha Vincent Kigosi na Kanumba". -Mama Kanumba. Mama mzazi wa Kanumba amesema kwamba enzi
Autoplay
<iframe frameborder="0" width="480" height="270" src="//www.dailymotion.com/embed/video/x6ru3h0" allowfullscreen allow="autoplay"></iframe>
Add the video to your site with the embed code above