Do you want to remove all your recent searches?

All recent searches will be deleted

TARIME, MARA: Jeshi la Polisi limeuzuia mkutano wa kampeni kumnadi Mgombea Udiwani kupitia CHADEMA kata ya Turwa> Inaelezwa kuwa Jeshi la Polisi limetumia mab

siku 3 zilizopita0 views

TARIME, MARA: Jeshi la Polisi limeuzuia mkutano wa kampeni kumnadi Mgombea Udiwani kupitia CHADEMA kata ya Turwa

Inaelezwa kuwa Jeshi la Polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliohudhuria mkutano huo.
Mbunge Zitto Kabwe(ACT-Wazalendo) amesema amefanya mazungumzo na OCD kuhusiana na hatua hiyo ya Jeshi la Polisi lakini hajaona sababu yoyote ya msingi ya zuio hilo.
Aidha, Mbunge Esther Matiko(CHADEMA) inadaiwa kuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu ambazo bado hazijawekwa wazi.

Report this video

Select an issue

Embed the video

TARIME, MARA: Jeshi la Polisi limeuzuia mkutano wa kampeni kumnadi Mgombea Udiwani kupitia CHADEMA kata ya Turwa> Inaelezwa kuwa Jeshi la Polisi limetumia mab
Autoplay
<iframe frameborder="0" width="480" height="270" src="//www.dailymotion.com/embed/video/x6rtzj2" allowfullscreen allow="autoplay"></iframe>
Add the video to your site with the embed code above