INAUMA SANA: KABLA YA KIFO MZEE MAJUTO ALIWAHI KUNENENA HAYA
  • 6 years ago
Taifa la Tanzania hivi sasa lipo katika simanzi kubwa kufutia kifo cha Msanii Nguli wa Vichekesho nchini Tanzania na Ukanda wa Afrika Mashariki, huyu si Mwingine bali ni KING MAJUTO aliyefariki leo Agosti 8, 2018. Enzi za uhai wake alikuwa askari wa JWTZ na hapa akisimulia
#RIP_MZEE_MAJUTO
Recommended