EXCLUSIVE: Alikiba na Abdukiba wamezungumza uteuzi wa Jokate

  • 6 years ago
Ayo TV imefanya mahojiano na wasanii wa muziki wa bongofleva ambao ni ndugu, Alikiba na mdogo wake Abdukiba ambao wamezungumza kuhusu kuteuliwa kwa muigizaji na mwanamitindo Jokate Mwigelo ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Bonyeza PLAY kutazama walichokizungumza ALIKIBA na ABDUKIBA

Recommended