MAANDAMANO: Hali ilivyo jijini Dar es salaam eneo lililopangwa kua kitovu cha maandamano

  • 6 years ago
Tarehe 26/4/2018 siku ya muungano Tanzania ambayo baadhi ya watu walipanga kufanya maandamano ya kuipinga serikali ya awamu ya tano
Hapa ni posta jijini Dar es salaam ambapo palipagwa kua kitovu cha maandamano na hiki ndicho kinachoendelea mpaka sasa

SUBSCRIBE CHANNEL HII ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI
Bofya hapa